Showing posts with label kimataifa. Show all posts
Showing posts with label kimataifa. Show all posts

INASIKITISHA, MWANAMKE ATOLEWA MAWE SITA TUMBONI, TAZAMA HAPA!!

Mwanamke mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika tumbo lake baada ya kufanyiwa oparesheni kubwa ya upasuaji na madaktari bingwa.


Madaktari wanasema alikuwa na hofu kubwa ya kuona madaktari kwa sababu ni nusu kifo ilikuwa ni kufa au kupona.
Alikaa na tumbo hilo kwa miaka 47 na lilikuwa likizidi kuvimba siku hadi siku ni mara 20 la tumbo la kawaida.
Wataalamu wanasema kwamba haijulikani kama atapata nafuu ya haraka na moja kwa moja ila baada ya oparesheni uzito wake ulipungua kwa kasi.
Mwanamke huyo raia wa Czesh alikuwa na takribani mawe sita ambayo yalioonekana na kutolewa kutoka kwenye tumbo lake na ukubwa wa tumbo ulikuwa mara ishirini la tumbo la kawaida.

Mwanamke huyo alifanyiwa oparesheni ya kuokoa maisha yake katika hospitali ya mkoa wa Zlin mwezi uliopita.
Ilichukua upasuaji wa zaidi ya saa saba kuondoa ukuaji ambao ni zaidi ya mita moja katika mduara wa kipimo cha kawaida.
Zdenek Adamik , mkuu wa Idara ya masuala ya uzazi na magonjwa ya wanawake katika hospitali hiyo, alisema madaktari walikuwa walishangazwa kwa nini mwanamke huyo akutafuta msaada wa matibabu mapema.“Ni ajabu kwamba familia na marafiki wa karibu hawakuweza kupeleka taarifa katika mamlaka za utabibu mapema au kuguswa na matatizo ya mama huyo,” alisema mkuu huyo wa idara.

Chupa za Damu zilizotumika kumwogezea Damu mama huyo wakati wa Oparesheni iliyodumu masaa saba.

HUYU NDIYE MTANGAZAJI ANAMILIKI JUMBA KALI ZAIDI LA HUKO MAREKANI, TAZAMA PICHA



Ellen DeGeneres ndio wanasema mtangazaji anayeishi kwenye jumba kali zaidi huko L.A Marekani. TMZ wame ripoti kuwa jumba hili ni kali na lenye thamani kubwa zaidi kuliko jumba lake la awali alilonunua. 


Jumba lake la sasa lina thamani ya dola milioni $39,888,000 na linaitwa The Brody House. Kiwanja kina eka 2.3 , vyumba sita vya kulala, mabafu sita, bwawa la kuogelea , sehemu ya mazoezi na uwanja wa kucheza tennis.

'Afufuka baada ya kujitoa uhai' AJIKUTA AKIWA KWENYE CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI


Mgonjwa anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Naivasha

Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanamume mmoja aliyedhaniwa kuwa mfu kufufuka kutoka katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali moja mjini Naivasha umbali wa kilomita tisini kutoka mji mkuu Nairobi.

Mwanamume huyo Paul Mburu mwenye umri wa miaka 24, alipelekwa hospitalini kwa matibabu baada ya kunywa sumu kwa lengo la kujitoa uhai,kutokana na ugomvi wa kinyumbani na babake ingawa alisemekana kufariki Jumatano usiku wakati akipokea matibabu.
Wafanyakazi wa hospitali hiyo walipigwa na butwaa na hata kutoroka walipoona mwili wa mtu aliyedhaniwa kufariki ukisonga na kuonyesha dalili za kuwa hai katika chumba cha kuhifadhia maiti.
Afisaa mkuu wa matibabu katika hospitali hiyo ya wilaya, Dokta Joseph Mburu, alisema kuwa dawa iliyotumiwa kumtibu Mburu hufanya moyo kupiga polepole hali ambayo huenda ilimfanya muuguzi kudhani kuwa mgonjwa alikua amefariki.
Mwanamume huyo alisikika akimtaka mmoja wa wafanyakazi katika chumba cha kuhifadhia maiti kumsaidia kwani alikuwa anahisi baridi kali na hapo ndipo mmoja wa wafanyakazi alipotimua mbio kwa hofu.
Nusura Mburu awekwe kwenye jokovu la kuhifadhia maiti.
Jamaa za mwanamume huyo akiwemo babake walikuwa wametembelea chumba cha maiti siku ya Alhamisi ili kujiandaa kwa mazishi , lakini baadaye mchana walifahamishwa kuwa Mburu alikuwa hai.

NAOMI CAMPLE ATUAKENYA KWA AJILI HII...SOMA HAPA

Super model  Naomi Campell ameonekana  huko Pwani ya kenya. Kwasasa Kenya inahali nzuri ya hewa na macelebs wengi hupenda kuja majira haya kwa ajili ya mapumziko.Model Huyu mwenye umri wa miaka 43 si kwamba yupo kwa ajili ya mapumziko tu bali ameamua kujumlisha mapumziko yake na shughuli zake zakihumanitarian kusaidia watoto yatima nchini kenya.
naomi campell
naomi-malindi
Naomi alikua Nchini Kenya tokea mwishoni mwa mwaka 2013 na aliweza kukutana na watu wengine maarufu huko pwani ya malindi kama Flavio Briatore,63  ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini italia ambaye naye alikua mapumzikoni kwenye pwani hizo za malindi.
Naomi-Flavio-Briatore

PICHA ZA FAMILIA YA JAJI LAN MBUGUA WA TUSKER PROJECT FAME...ANGALIA PICHA HAPA

553698_10151049689310266_1105956410_n
Judge Ian Mbugua has always been known to be a no nonsense man especially in the last six episode of Tusker Project Fame that he has served as a Judge. Many love him, many fear him and many also
hate him but he does not seam to care much, as long as he expresses his opinion and does his work as is expected of him, people will talk and talk but he will remain to be who is.
ian2
Apart from the other things that this no nonsense Judge is known for, he has another side of his life. He is a family man. A loving father to three very beautiful, youthful kids and a loving husband to one wife. Below are some amazing pictures of this amazing family.
ian4 ian3 ian1
Source: http://niaje.com

TAZAMA PICHA ZA MISS BOOTY 'VERA SIDIKA' WA KENYA KABLA NA BAADA HAJAWA MISS BOOTY



Ever wondered how your favorite celebrity looked like way back before they could afford designer clothes, the best kind of makeup and hair. Were they geeky? Were
they weird looking or were they still as stunning? I came across a picture of Vera Sidika before all the fame and glamour and like most of us; she really started from the bottom

Started from the bottom....................................Now we are here!
CREDIT-Ghafla.co.ke

MCHEZAJI WA BAYERN MUNICH NA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI AJITANGAZA KUWA SHOGA

thomas 1Nyota wa zamani wa Ujerumani Thomas Hitzlsperger aliyeanzia soka lake kwenye klabu ya Bayern Munich  amejitangaza kuwa shoga.
Aliwahi kucheza kwenye ligi ya England kwa muda wa miaka mitano akicheza kwenye klabu ya Aston Villa kabla ya kujiunga na VFL Stutgart ya nyumbani kwao Ujerumani ambayo aliisaidia kutwaa ubingwa wa ligi ya Ujerumani Bundesliga.
Thomas pia aliwahi kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani kwenye mashindano ya kombe la dunia na kombe la mataifa ya Ulaya mwaka 2008 ambako alicheza mechi zote za hatua ya mtoano kuanzia robo fainali, nusu fainali na fainali.
thomas 2Kiungo huyu mshambuliaji pamoja na kuwa raia wa Ujerumani alichea sehemu kubwa ya soka lake nchini England kwenye timu za Aston Villa, West Ham United na Everton ambapo pamoja na Stuttgart, Bayern Munich ndiko alikoanzia soka lake na Werder Bremen.
Moja ya vitu ambavyo Hitzlsperger atakumbukwa navyo ni mashuti makali aliyokuwa anapiga kwa mguu wake wa kushoto na alifunga mabao mengi sana kwa style hiyo kabla ya kustaafu soka mwaka 2013 akiwa na umri wa miaka 31 baada ya kuandamwa na majeraha tofauti ya goti kwa muda mrefu.
thomas 3Thomas Hitzlsperger anakuwa mchezaji wa pili maarufu kujitangaza kushiriki mapenzi ya jinsia moja baada ya mchezaji wa zamani wa Leeds United Robbie Rogers ambaye kwa sasa anacheza kwenye klabu ya Los Angeles Galaxy naye kujitangaza kuwa shoga.

TAZAMA VIDEO YA DOGO ALIYECHEZEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI BAADA YA KUKAMATWA AKIMREKODI ANTI YAKE AKIWA BAFUNI ANAOGA.


Strange video from Iraq shows what I presume is a domestic punishment.
It is said the naughty kid was caught filming his aunt in a bathroom doing her thing so to teach him a lesson about snooping on adult females, he was hanged upside down and several members of the family took turns to whip him. The only question left is – where the hell is the video of his aunt doing her thing in the bathroom? Nothing wrong with that too.

Bofya HAPA kutazama video hiy

USHAWAHI KUMUONA MTOTO WA CHRISTIAN RONALDO??, MTAZAME HAPA ANAVYOTUPIA PAMBA KAMA BABA YAKE..!!

ddd
 Mchezaji Cristiano Ronaldo ametoka na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu “Cristiano Junior” wakizindua museum huko Madeira Portugal Jumapili iliyopita.
Mtoto huyo sio kawaida  kuonekana mara nyingi hasa sehemu kama hii ambayo inavuta camera nyingi za media tofauti.
Musuem hiyo ilizinduliwa na Ronaldo akisaidiwa na mwanae na itakua na masanamu,tuzo,makombe na jezi zake kwenye maisha yake ya soka. ron2
article-0-1A1FF1B500000578-234_634x409
article-0-1A24E3B700000578-455_634x486
article-2526363-1A20036000000578-481_634x999
ron

mariah carey ashutumiwa kufanya show yenye maalipo ya kitapeli...soma zaid hapaaa

Hivi karibuni Mariah Carey alizikonga nyoyo za mashabiki huko Angola kwa show ya maana iliyomuingizia kiasi cha dola za Marekani Milioni 1, sawa na bilioni 1 na milioni 600 za kitanzania.

Kundi la kutetea haki za binadamu ‘Human Right Foundation’ limemkosoa vikali mwimbaji huyo kwa madai kuwa alikubali kulipwa fedha na binti wa rais wa Angola Jose Eduardo dos Santos, rais ambaye anatuhumiwa na baadhi ya makundi ya kutetea haki za binadamu kuwa fisadi.
Mariah Carey alipiga show ya masaa mawili nchini Angola iliyoandaliwa na Red Cross ya nchini humo, na kampuni ya simu ya Unitel ambayo inamilikiwa na binti wa rais Dos Santos aitwae Isabel.  Pia Isabel ndiye rais wa Red Cross nchini Angola.
Rais wa Human Right Foundation aitwae Thor Halvorssen ameandika tamko linalomkosoa Mariah Carey, “Mariah Carey haonekani kutosheka na pesa za dictator, imeripotiwa amelipwa dola milioni 1 kipindi hiki. Miaka mitano tu iliyopita aliperform kwenye familia ya dictator wa Libya Muammar Gaddafi.”

PICHA ZA WATU MAARUFU DUNIANI WAKIWA NA MZEE MANDELA ENZI ZA UHAI WAKE


Nelson Mandela kutokana na historia yake ya harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi nchini South Africa alivutia watu wengi sana ikiwemo hadi watu sana hadi mashuhuli duniani walifika South kumtembelea mzee huyu. Hizi ni baadhi ya picha ambazo alikutana na watu marufu kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Evander Holyfield

50 Cent

Michael Jackson

Naomi Campbell
Will Smith



P. Diddy
Liverpool F.C

Bill Clinton
Michelle Obama
Michael Jackson
Morgan Freeman
Mike Tyson

Bill Gates

Pele
Whitney Huston

Cristiano Ronaldo

Beyonce
Michael Jackson


 
Design by Jambo Tz