DIAMOND PLATNUMZ KUACHIA COLLABO MPYA MWAKANI......SOMA ZAIDI HAPA

Ni nadra sana kwa Diamond Platnumz kufanya collabo na tena na msanii wa Hip Hop. Mwaka huu hitmaker huyo wa
‘My Number One’ alishirikishwa na Nay wa Mitego kwenye ‘Muziki Gani’ na kushuhudia mafanikio makubwa kwa Nay ambayo ni pamoja na kuongeza mashabiki zaidi na kupata show nyingi zilizomfanya kuwa miongoni mwa wasanii walioingiza mkwanja mwingi mwaka huu.
Sasa ni zamu ya Godzilla kupata neema za Diamond Platnumz, kipenzi cha wengi. Wakali hao
watasikika kwenye ngoma ya pamoja iliyofanyika MJ Records na ambayo itatoka mwaka 2014.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Jambo Tz