HAWA NDIO WASHIRIKI 8 WA SHINDANO LA WANAUME WENYE SURA MBAYA:

William Masvinhu Akiwa kwenye pozi:



William Masvinhu kwa mara nyingine tena amenyakua taji la Mwenye Sura Mbaya huko Zimbabwe katika shindano lililofanyika siku ya Ijumaa ndani ya ukumbi wa City Sports Bar.

Amepewa taji, hela pamoja na Ofa ya mwanae mmoja kulipiwa ada ya shule kwa mwaka mmoja, mke wake William naye alikuwepo ukumbuni hapo na alifurahia sana ushindi huo wa mumewe.

Katika kujifaharisha na taji lake, William alisema" Ubaya wa Sura yangu ni wa Asili, ingawa nilijiaanda kidogo kwa shindano hili lakini mengine niliyaacha yajishughulikie yenyewe"

Hao ndio washiriki wote kwa ujumla ambapo William alitoka Kidedea.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Jambo Tz