Hii si mara ya kwanza kusikia visa vya walemavu kutoka nchini Tanzania wamefanywa kitega uchumi katika nchi ya Kenya.
Sasa, tizama video ya taarifa hii mpya ya kituo cha habari cha Kenya, KTN, iliyoripotiwa juzi kukwa udhalimu huo umekuwa ukifanyika kwa watu hawa tangu miezi miwili iliyopita baada ya kulaghaiwa kuwa wanapelekwa Kenya ili wapewe viti vya magurudumu matatu, fedha ya kujikimu na malazi
CHEKI VIDEO....
0 comments:
Post a Comment