skip to main |
skip to sidebar
Mwimbaji wa ‘Mr Politician’ Nakaaya Sumari is now a mom, baada ya
kujifungua mtoto wa kiume (October 5) Nakaaya amemtambulisha kwa
ulimwengu mwanae aitwaye ‘KAI SAMUEL’ kwa kushare picha zake kupitia
Instagram.
Mtoto wa Nakaaya aitwaye ‘Kai’
Nakaaya alisindikiza picha hizo na ujumbe huu,
“Im blessed to be your mother. You are the most beautiful person i
have ever seen son. Mungu wetu akuinue na damu ya Yesu kristo wa
Nazareth ikufunike. In Jesus name. Nakupenda sana mwanangu mzuri”.
0 comments:
Post a Comment