Mwili
wa Marehemu Joshua Isaac, 4, mara baada ya kutolewa kwenye shimo la
choo cha jirani alikutumbukia na kufikwa umati. Habari zinasema kwamba
juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka.
Wadau mbali mbali wakishuhudia jana hilo |
Picha kamili na Habari Kesho.. endelea kufuatilia
0 comments:
Post a Comment