WATOTO WADOGO WAFUNGA NDOA MKOANI DODOMA...CHEKI VIDEO YA NDOA YAO

Vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vipo katika jamii yetu, nikiwa huko mkoani Dodoma nilipata kushuhudia ndoa ya watoto wadogo kabisa, kiukweli nilikuwa nashangaa na bado nashangaa mpaka sasa hata siamini, haya nilikuwa nikiyasikia tu ama kuyasoma ila nimepata kuyaona kwa macho yangu..
mdau tutazame then tuje kuchangia mawazo mana inabidi ifike muda vitendo hivi vya ukatili wa kijinsia iwe vimefika mwisho... ANGALIA VIDEO HAPO CHINI...

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Jambo Tz