Msanii H.BABA apata mtoto wa kike na amempa jina la #Tanzanite mtoto huyu amezaliwa katika hosp ya #MariaStope iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam
Vituko vya mtaa blog inawapongeza wote...Hongereni sana H-baba na Flora
Posted in: mastaabongo


0 comments:
Post a Comment