Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya
pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia
moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya
kufikia uamuzi wa kuoana.
John Banvard mwenye miaka 95 alimuoa Gerald Nadeau mwenye miaka 67 huko Diego, California Marekani.
Tukio hilo limeonekana kutoungwa mkono na baadhi ya majirani ambapo
ndoa hiyo ilifungiwa ambapo mtu mmoja alijaribu kutoa taarifa kwa kundi
linaloendesha harakati za kupinga ndoa za mashoga kwa ajili ya kuja
kujaribu kupinga ndoa hiyo isifungiwe katika eneo lao lakini
ilishindikana
0 comments:
Post a Comment