Mwanamke mmoja Salma Omari Mzale, alikamatwa Airport Dar es Salaam
na Madawa ya Kulevya, akielekea nchini China. Mpaka sasa ameshikiliwa na
Polisi wa usalama kitengo cha madawa ya kulevya cha uwanja wa ndege.
Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo
katika vyoo vya Uwanja wa Ndege. Hadi saa 1 jioni (mida ya Tanzania).
Uchunguzi wa kina unaendelea.
Habari kamili itawajia hivi punde.
0 comments:
Post a Comment