mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai na nguvu
ya Kuweza kufanya maonyesho yetu mjin
Mtwara na Lind kwa mafanikio makubwa.
Siwez sahau kuwashukuru wananchi kwa sapoti kubwa waliyotupatia..lakin
shukran za dhati kabisa.
Nizifikishe kwa waziri wetu mpendwa
mheshimiwa, Bernad Membe kwa kutambua
mziki wetu na mchango wetu katika jamii . Ambapo alinipa
heshima ya kujumuika na Kula chakula
cha pamoja Na mwisho kufanya
mazungumzo..kikubwa Tulizungumzia
mziki wetu na mchango wake na jinsi gani Ya kuukwamua na
kuupeleka level tunayoiota kila siku. Kuufanya
mziki wetu utambulike kimataifa Na utangaze nchi yetu.
kikao hicho pia kilihudhuriwa na naibu,waziri wa Elim,Philp
Mulugo na mkuu wa mkoa Lindi
Mida ya chakula,waziri Mulugo akinieleza jambo
Mheshimiwa Membe
Tukiteta jambo na Ndugu yangu,Romy Jons
Huniambii kitu kuhusu matunda
Mheshimiwa MEmbe akizungumza
Nikimsikilkiza mkuu wa mkoa Lindi
Mkuu wa mkoa wa Lindi akizungumza
Mazungumzo yakiendelea
Nikisisitiza jambo kuhusu mziki wetu
Waziri Mulugo akizungumza
Baaada ya kikao niukizungumza jambo na Waziri
Membe,alinipatia ushauri mzuri sana kuhusu maendeleo ya mziki wangu
0 comments:
Post a Comment