Janga la kwanza 2014, nje ya home saa 12
asubuhi, makaka wezi wanne na gari lao wamekuja, wamevunja kioo na
wakaanza kufungua side mirror, bahati mjumbe katoka, akawauliza nyie
vipiii, ndo wakatoka nduki wakaingia kwenye gari lao
walililokuwa wamelipaki karibu na gari langu nankuseoa kwa speed 120, hawajafanikiwa kuondoka na chochote...hawakukamatwa ila wangekamaaaaatwa.....hahahahahaa, hivi ndo nimeianza asubuhi ya leo. Shout out kwa mjumbe wangu bila ya yeye duuuh nahisi ningelikuta gofu!!!
0 comments:
Post a Comment