Kama unafatilia habari za mastaa wa Marekani utafahamu kuwa hii issue
alishawahi kufanya rapper Nicki Minaj wa Young Money, Aliomba mashabiki
watume picha wakiwa wamevalia mavazi kama yake na pozi zaki Nicki Minaj,
Well Bongo Super Star Diamond amefanya yake kwenye instagram.
Picha zaidi ziko hapa.
0 comments:
Post a Comment