Msanii
maaru Dully Sykes jana baada baada ya kutoka kwenye fiesta mjini
dodoma alionekana kuwa kazidiwa sana na kilevi na pia baada ya kumaliza
show yeye pamoja na wasanii wenzake walienda club 84 na kugida mitungu
na kulewa kupita kiasi,,
Sakata lilitokea pale baada ya kumaliza kula bata lao la kutosha na kutaka kwenda kujipumzisha walipofiki ,dull pamoja wenzake walitoka nje na kuchukua tax na kuwapeleka walipofikia na baada ya kufika dull alionekana kubadilika na kukataa kumlipa dereva tax ujira wake na hapo ndipo walipozenguana na kutaka kuzichapa. baada ya kuona dereva tax kamtunishia misuli yeye mwenyewe ikabidi awe mpole na kulipa pesa tena kwa shingo upande na tena ilikuwa haijakamilika , Ripota wetu ambaye ni Dereva Tax ambaye hakupenda kutajwa jina lake alizidi kututonja kwamba msanii huyo alilipa buku mbili na kuchoropoka na kukimbilia lodge bila kumalizi pesa iliyobaki huku akiwa na Demu pembeni:

0 comments:
Post a Comment