DIVA WA CLOUDS FM AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUPIGWA CHINI NA PREZZO

 
 Kwa  mara  ya kwanza, Diva  ameamua  kufunguka  kuhusu  KIBUTI  alichopewa  na  jamaa  yake  wa Kenya  maarufu  kwa  Jina  la  Prezzo  ambaye  alikuwa    amemwanika  mitandaoni...

Sote  tunakumbuka  kwamba, Diva  alikubali  kupiga  picha  za  nusu  uchi  na  kuzitundika  katika  mtandao  wa  twitter  ili  kumpagawisha  Prezzo  na  kumfanya  aachane  na  Huddah.

Bahati  Mbaya  hali  ya  mambo  haikuwa  nzuri...Prezzo  alifanya yake  na  kisha kumtenda  dada  wa  watu....

Akiwa  bado angali  na  machozi  ya  ROHONI, Diva  ameamua  kutoa  onyo  kali  kwa  mashabiki  wake  na  kuwataka   kutolitaja  tena  jina  la  Prezzo  kwa  kuwa  hahitaji  hata  kulisikia.

HUU  NI  UJUMBE  WAKE:

"Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page.

That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally .

I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mnaendelea kucomment about Prezzo.
 
Well , The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that.

 I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Jambo Tz