CLOUDS FM WANAWAIBIA WANANCHI KWA NJIA YA SIMU...

Kampuni ya Clouds media kupitia makampuni yake ya clouds fm na clouds Tv wamebuni mbinu ya kuwaibia watanzania ambao wengi hawana uwelewa mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwani wanakutumia ujumbe mfupi unaohusu shughuli za burudani wanazozifanya kisha wanakukata hela,pasipo wewe mpokea ujumbe wa simu kujiunga na huduma hizo kiasi wanachokata ni Tsh 150.Hili suala ni very sensitive kwani nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja na kuwalalamikia wao wamesema hawajui kitu zaidi ya kunishauri nitume neno STOP kwenda number 15556 Ili kusitisha ujumbe huo ambao unaiba pesa za watanzania,suala la kujiuliza hapa ni kuwa mimi ni mwelewa wa mabo ya mawasiliano je kwa mjomba wangu aliyepo kule kijijini Lukuredi kama atakuwa anatumiwa ujumbe na hawa watu kila siku na anakatwa hela pasipo ridhaa yake hawa watu watakuwa wanatengeneza mabilioni mangapi ya pesa?.Ufuatao ni copy ya ujumbe mfupi ambao hii kampuni inautuma ovyo kwa watanzania na kuwakata hela bila ridhaa yao

"CLOUDS TV:Angalia mkali wa ngolongolo Diamond Platnumz akiwasha moto Fiesta 2012.Diamond amewakilisha Tabora, Dodoma.SIMU.TV;Bofya; http://db.tt/CXiJhfHZ "
Nakala
i)Joseph Kusaga (Clouds media Group)
ii) Makamba J (Naibu waziri)
JamiiForums 
 
CHANZO CHA HABALI HII NI HAPA <<DARSLAM BLOG>> .
VITUKO VYA MTAA BLOG YATAKA KUJUA UKWELI KUTOKA KWAKO KUPITIA E-MAIL VITUKOVYAMTAA@GMAIL.COM. HATUHUSIKI NA CHOCHOTE KUHUSU HABARI HII HAPA JUU
 
CHANZO YA HABARI <<INGIA HUMU >>

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Jambo Tz