Anajulikana kwa jina la Christina Mhando ni designer makazi yake
yaliyopo jijini london,ame-graduate Kent University with an honours
degree, mwaka 2002. Baada ya masomo yake ,Mhando alipata experience
yakufanya kazi na designers wakubwa wa nguo za kike ulaya.Na ujuzi huo
aliopata,Mzaliwa huyo wa Tanzania aliweza kufungua Lebel yake mpya mwaka
2007 iitwayo CHICHI jina lililokuwa aka yake toka utotoni. brand
inayotengeneza nguo kwa kuchanganya vionyo mbalimbali vya ubunifu wenye
asili ya mahali alipotokea designer huyo kwa kama “Khanga”kitambaa
kinachotumika na wanaweke wengi east africa kwa kujifunika.
Collection yake ya kwanza kutoka kampuni ya Chichika ilifanikiwa
kuuzwa sana huko ulaya nakufanya aweze kuuza na kupata order mbali mbali
za nguo,kupata interview mbalimbali na media kubwa sana ikiwemo Vogue
huko italy,kitu kilichompa moyo kuendelea fufanya vizuri sana na kufanya
kampuni yake hiyo izidi kukua.
moja ya nguo aliyoi-design CHICHI
Beyonce akiwa kwenye Show ya Mrs Carter Tour akiwa amevalia vazi la Chichi.
Hivi karibuni alikuwa-featured kwenye Vogue Italia Talents in 2013,
Jambo lililovutia watu ni ubunifu wake wa kutumia colour and print za
East Africa kitu kinachofanya label ya Chichia iwe na nguo za kipekee
kufanya kuvutiwa hata na celebrity mbalimbali,Akiwemo msanii maarufu
Beyonce ambaye naye pia ni mvaaji wa nguo alizo design, Chichia is
fastly becoming recognised as an international African brand ambayo ina-
transform traditional East African textiles into stylish, contemporary
and considered fashionable kwa ujumla.
Baadhi ya mavazi ya Christine Mhando
0 comments:
Post a Comment