Mwanadada
Irene Uwoya amefunguka na kuandika ya moyoni kuhusu Johari ambaye
amemwita "rafiki yake kipenzi'. Kupitia Instgram yake Irene aka #ireneuwoyaonepieceintownameandika maneno yafuatayo "
Yan wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili...sasa
ukifika Canada usinisahau...maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili
tuliaaa." na kuambatanisha na picha ya rafiki yake kipenzi Johari kama inavyo onekana hapo chini.
Hi ndo habari ya mujini na tunamtakia Johari aka#mukeyamzungutobe kila la kheri. |
Hayo ndo maneno ya Johari |
0 comments:
Post a Comment