Chuo cha st.John's pale Dodoma kuna tatizo kubwa la walimu kuwakamata wananfunzi na kuwalazimisha ngono .Nimeshuhudia mwanafunzi last week amekamatwa na mwalimu kamwambia ajisalimishe .Kamtumia sms na calls kum harrass huyu binti na mwisho ametoa matokeo akiwa ameamua mwanagunzi huyu asimalize chuo na inabidi arudie mwaka mzima .Ushahidi uko wazi umekuwa documented hatua imechukuliwa baada mtego kwa kushirikiana na jeshi la polisi , kwa mumwachia mwanafunzi akubali matakwa ya mwalimu , alimpigia simu mbele uongozi wa polisi na kumwambia yuko tayari kwa ngono na bila ajizi mwalimu aliitikia kwa bashasha na aliwahi kituoni akamchukia mwanafunzi na kabla hajaondosha gari alikamatwa baada ya mahojiano ya siku 2 mwalimu kaamua kubadilisha matokeo ya mwanafunzi baada ya supplementary na sasa mwanafunzi ata graduate mwezi ujao .
Naomba msaada toka kwenu juu ya ufumbuzi wa hilli jambo huko vyuoni hali ni mbaya na rushwa ya ngono imeshika kasi .What is the solution to this problem ?
From Mdau
1 comments:
sa mbona umetumia picha ya chimwaga hall ambayo ni mali ya udom na wala si st john
Post a Comment