skip to main |
skip to sidebar
Baada ya siku ya jana
kupatikana kwa habari za Dogo Janja kutimuliwa kundi la Watanashati
Entertinment lililo chini ya uongozi wa Ostaz Juma Namusoma kwa utovu wa
nidhamu na tabia mbaya ambayo dogo Janja alikuwa ameianzisha. Tofauti
na wengi walivyodhani kuwa Dogo Janja atarudi kwa Arusha na maisha
yatasonga lakini imekuwa sivyo, Dogo janja alielwa kosa lake na kuamua
kuomba msamaha katika Uongozi wa Watanashati na kukubaliwa na kurudi
kundini kama zamani, Mtoto akinyea mkono huwezi kuukata ila utaosha na
maisha yataendelea kama kawaida, hii ndiyo falsafa aliyoitumia Ostaz
Juma Namusoma kwani anamchukulia Dogo Janja kama mwanae au mtu wake wa
karibu
0 comments:
Post a Comment