skip to main |
skip to sidebar
Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara
kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around
ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa
mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.
Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa
amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea
kuperform ghafla akaanza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye
kulishusha vazi lote na kubaki mtupu.
<<PICHA YA 1>>
<<PICHA YA 2>>
<<PICHA YA 3>> <<PICHA YA 4>>
0 comments:
Post a Comment