Kumekuwa na minong’ono mingi juu ya Jokate na jamaa mmoja aitwae Lucci kuwa wanamahusiano ya kimapenzi, leo Jokate mwenyewe kupitia account yake ya instagram amesema haya:“Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that’s what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko
maneno
tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila
najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama
binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio
anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I’m a pretty good
girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don’t be fooled by my
PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don’t take trying
to tarnish my image easily. So kindly don’t mess with KIDOTI. Msione mtu
mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there’s
some guy I’m checking out. Like any other female I deserve love cause I
got so much love to give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane
kwa maneno maneno. Have a blessed evening!!!..”
0 comments:
Post a Comment