HATIMAYE NDOA YA H-BABA NA FLORA MVUNGI YAZAA MATUNDA..

 
Msanii H.BABA apata mtoto wa kike na amempa jina la #Tanzanite mtoto huyu amezaliwa katika hosp ya #MariaStope iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam

 
Vituko vya mtaa blog inawapongeza wote...Hongereni sana H-baba na Flora

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Jambo Tz